Wadau wa uhifadhi wa wanyama poli wa ndani na nje ya nchi wameazisha kampeni mhimu ya okoa tembo.
Jumatano, 11 Novemba 2015
Jumanne, 18 Agosti 2015
UJANGILI WAPATA DAWA
Watu waishio kando ya maeneo ya rasilimali ya wanyama pori wamehimizwa kuwa walizi wa wanyama hao na kutoshawishiwa na majangili hao kwa mjibu wa taarifa ya matokeo ya sensa yaliyotolewa na taasisi ya wanyamapori(TAWIRI) inaonyesha tembo zaidi ya 2,000 wametoweka bila kuona ata mizoga yake ambapo ni tofauti na mwaka 2013 ambapo tembo walikuwa walikuwa zaidi ya 20,000 sensa hii imefanyika katika hifadhi ya ruangwa. Waendesha baiskeli wamesafiri kutoka dar esalam hadi arusha wakiwa na ujumbe maalum ulioandaliwa kwa dhumuni ya kupinga mauaji ya wanyama pori nakutoa ujumbe huo kwa jamii iliyokaribu na hifadhi hizo ujumbe huo umepokelewa na mwakilishi wa balozi wa nchi ya China ambapo amesema nchi yao imeweka sheria Kali ili kuzuia uuzwaji wa pembe za ndovu katika nchi hiyo.
Jumamosi, 4 Julai 2015
HIFADHI Y A RUAHA MKOANI IRINGA FAHARI YA WATANZANIA
Hifadhi ya ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilomita 128 magharibi mwa mji wa iringa hifadhi hii inaukubwa wa kilometa za mraba 1300 ukweli kuhusu hifadhi hii ya ruaha ndio hifadhi kubwa kulikozote nchini Tanzania na barani afrika iliazishwa mnamo mwaka 1964 inaukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba 20,380
Hifadhi hoi ya ruaha inabeba pia historian kubwa ya chifu mkwawa kiongozi wa wahehe alieongoza mapambano dhidi ya wajerumani katika karne ya 19.kwani katika historia hii tunaona kuwa haya maeneo ndio yalikuwa mapito yake wakati akiwa anaenda kukutana na chif mapesa wa wagogo mkoani Dodoma.hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama mbalimbali kama kudu'swala'simba"tembo'faru'twiga"nyati na wanyama wengine wengi pia mto ruaha unasamaki wengi sana NAMNA YA KUFIKA KATIKA HIFADHI HII YA RUAHA. Unaweza kutumia ndege pia kwa njia ya barabara.





u




u
Jumanne, 23 Juni 2015
KUKISILI KWA UJANGILI
Serikali ya marekani yatoa shilingi milioni 60 kwaajili ya serikali ya Tanzania tanzania kwaajili ya kupambana na ujangili.kwani tembo wengi pamoja na falu wanauwawa sana ambapo inapelekea kutoweka kabisa kwa wanyama hawa.
mh nyarandu waziri wa mariasili na utalii akisaini makubaliano
Asikar wa nyama pori wakiwa wanatazama tembo alieuawa
Hizi ni pembe za ndovu ambazo zilikamatwa kwa majangiri
Tembo akiwa ameuawa na majangiri na kung'olewa pembe.
Tembo alieuawa na majangiri kama anavyoonekana
Huyu pia ni tembo alieuwawa na majangiri
Tuungane kwa pamoja kupambana na ujangiri ili kulinda heshima ya nchi yetu.
Asikar wa nyama pori wakiwa wanatazama tembo alieuawa
Hizi ni pembe za ndovu ambazo zilikamatwa kwa majangiri
Tembo akiwa ameuawa na majangiri na kung'olewa pembe.
Tembo alieuawa na majangiri kama anavyoonekana
Huyu pia ni tembo alieuwawa na majangiri
Tuungane kwa pamoja kupambana na ujangiri ili kulinda heshima ya nchi yetu.
Ijumaa, 8 Mei 2015
MILIMA TOFALI
Hii ndiyo milima tofali ambayo ilipata ushindi mwaka uliopita katika shindano la maajabu saba afrika apo tanzania tulishiriki na mlima kilimanjaro.
KILIMANJARO MLIMA MREFU KUPITA YOTE AFRIKA









Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)













