Tanzani tunavivutio vingi lakini sisi wenyewe hatuna kipaumbele katika kutembelea mbuga zetu lakini tunasubili mbaka wageni ndo tujuwe tunavivutio kwanini tusiwe wakwaza sis alafu wao wafuate pia tutakuwa tunatangaza inchi yetu ipasavyo kwani watalii wa nche wakija tanzania wakakukuta wewe mtanzania upo mbugani au mahali popote ukitembelea vivutio mbalimbali hata wao watakuwa na moyo wakuja kutembelea na kwenda kutangaza kwao tutangaze utalii wetu.HIVI NI BAADHI YA VIVUTIO VYETU NDANI YA TANZANIA.

Hili ni ziwa manyara linalopatikana mkoani manyara kama linaloonekana

Hapa ni watalii wanaotembelea mlima kilimanjaro kama wanavyoonekana.

Hapa ni watalii wakipumzika katika safari ya kupanda mlima.

Hawa ni watalii wakiwa katika gate lakuingilia katika mlima kilimanjaro.

Hawa ni watalii wanaopandisha mlima kilimanjaro kama wanavyoonekana.

Hawa ni wamasai kama wanavyoonekana

Hawa ni wapanda mlima wakiwa katika mapumziko .

Hizi ni baadhi ya hotel zinazotumiwa na watalii wetu.

Hawa ni wamasai wakiwa na watalii wetu wakifurahia utalii wetu.

Hapa mpanda mlima wa mlima kilimanjaro kama anavyoonekana tayar kuufikia mlima kilimanjaro

Hawa ni baadhi ya pundamilia wakiwa katika mbuga zetu kama wanavyoonekana

Hawa ni vyumbu wanapatikana ngorongoro kama wanavyoonekana

Huyu ni simba akiwa mtini kama anavyoonekana

Huu ni muonekano wa mlima kilimanjaro

Huyu ni ndege aina ya mbuni kama anavyoonekana

Huyu ni twiga mnyama mwenye asili ya upole kama anavyoonekana.

Hawa ni wamasai wakazi wa manyara kama wanavyoonekana.

Kila mtanzania awe wakwaza kuitangaza nchi yake katika sekta ya utalii ili tuweze kukua kiuchumi.@method kiteve.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni