Alhamisi, 30 Aprili 2015

ISIMILA STONE AGE IRINGA TANZANIA


mkMkoa wa iringa unapatikana nyanda za juu kusini mwa tanzania uliopakana na wenyeji wetu wa mkoa wa mbeya mkoa wa iringa umezungukwa na milima mirefu yenye mvua nyingi ya msimu mkoa wa iringa ambapo wenyeji wake wakazi wa mkoa huo ni wahehe,wakinga,wabena na wapangwa mkoa wa iringa unavivutio vingi vya kitalii vinavyopatikana sehemu mbalimbali ndani ya mkoa huu kama vile ruaha national park milima ya udizungwa,makumbusho ya chief wa wahehe mtwa mkwawa yanayopatikana kalenga na sehemu iliyohifadhiwa zama za mawe za kale walizotumia wazee wa kale ambazo walitumia katika kujilinda na kuwindia dhana hizo zilikuwa kama mikuki,visu haya yote yanapatikana ndani ya mkoa wa iringa@methodkiteve.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni