Alhamisi, 30 Aprili 2015

ISIMILA STONE AGE IRINGA TANZANIA


mkMkoa wa iringa unapatikana nyanda za juu kusini mwa tanzania uliopakana na wenyeji wetu wa mkoa wa mbeya mkoa wa iringa umezungukwa na milima mirefu yenye mvua nyingi ya msimu mkoa wa iringa ambapo wenyeji wake wakazi wa mkoa huo ni wahehe,wakinga,wabena na wapangwa mkoa wa iringa unavivutio vingi vya kitalii vinavyopatikana sehemu mbalimbali ndani ya mkoa huu kama vile ruaha national park milima ya udizungwa,makumbusho ya chief wa wahehe mtwa mkwawa yanayopatikana kalenga na sehemu iliyohifadhiwa zama za mawe za kale walizotumia wazee wa kale ambazo walitumia katika kujilinda na kuwindia dhana hizo zilikuwa kama mikuki,visu haya yote yanapatikana ndani ya mkoa wa iringa@methodkiteve.com

Ijumaa, 17 Aprili 2015

MAREJESHO YA MBWA MWITU SERENGETI

Rais kikwete amehuzuria katika urejeshwaji wa mbwa mwitu serengeti waliokuwa wametoweka kwa kipindi kirefu katika hotuba yake rais kikwete amesema angependa pindi atakapo sitaafu urais ajishugurishe na maswala ya uhifadhi wa wanyama poli maana ndo kazi atakayopenda kuifanya akistaafu urais,katika hafla hiyo iliyohudhuliwa na wadau mbalimbali wanaojihusisha na maswala ya uhifadhi wa wanyama poli kwamba umbwa mwatu hao ni awamu ya tano katika urejeshwaji huo ambapo rais kikwete kachangia shilingi milioni 30 katika urejeshwaji huo ambapo mbwa mwitu 26 walirejeshwa baada ya kutoweka kwa mda mrefu

Alhamisi, 16 Aprili 2015

JIVUNIE KUWA MTANZANIA

Hivi ni vivutio vinavyopatikana katika mbuga zetu za tanzania kama mikumi ngorongoro,manyara,ruaha national park nk tuwe wa kwaza kuvitangaza kwa kujipa kipaumbele.HUU NI MUONEKANO WA VIVUTIO VYETU NDANI YA TANZANIA@methodkiteve.hhawa ni samaki wanaopatikana hapa kwetu tanzaniahuu ni muonekano wa ziwa manyara likiwa namuonekano wa aina yakehaya ni mapolomoko ya mlima kilimanjaro kama yanavyoonekana yakitiririsha majihizi ni hifadhi zetu nani ya tanzania kama zinavyoonekana
huu ni muonekano wa madhali ya mkoa wa iringa kama unavyoonekana