Ijumaa, 8 Mei 2015

MILIMA TOFALI

Hii ndiyo milima tofali ambayo ilipata ushindi mwaka uliopita katika shindano la maajabu saba afrika apo tanzania tulishiriki na mlima kilimanjaro.

KILIMANJARO MLIMA MREFU KUPITA YOTE AFRIKA

Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote afrika unapatikana kaskazini mwa tanzania katika mkoa wa kilimanjaro na wenyeji wa mkoa huu ni wachaga na wapare mlima huu umezungukwa na mbuga ni mlima wenye barafu sana pia watalii ni wengi sana wanaotoka ndani ya nchi na nje ya nchi katika kipindi kilichopita mlima kilimanjaro ulifanikiwa kuingia katika shindano lililojumuisha vivutio mbalimbali katika kila nchi cha kushangaza mlima uliomrefu kupita yote afrika na wenye muonekano mzuri ulishindwa kuibuka na ushindi badala yake ukashinda mlima tofali uliopo afrika kusini ambao ni mdogo sana lakini yote ni kutoweka uzalendo wa nchi yetu kwani wananchi wengi hawana tabia za kutembelea vivutio vyao tanzania tina vivutio vingi sana kila pande ambapo ukiangalia kule morogoro unakuta milima ya udzungwa ambayo inamaporomoko makubwa ya maji ambako utapata vivutio mbalimbali katika maooromoko hayo kunawanyama mbalimbali pia vyura wakihazi pia waligundulika katika maporomoko hayo ni vyura adimu sana wasiopatikana popote pale isipo kuwa tanzania,