Serikali ya marekani yatoa shilingi milioni 60 kwaajili ya serikali ya Tanzania tanzania kwaajili ya kupambana na ujangili.kwani tembo wengi pamoja na falu wanauwawa sana ambapo inapelekea kutoweka kabisa kwa wanyama hawa.

mh nyarandu waziri wa mariasili na utalii akisaini makubaliano


Asikar wa nyama pori wakiwa wanatazama tembo alieuawa

Hizi ni pembe za ndovu ambazo zilikamatwa kwa majangiri

Tembo akiwa ameuawa na majangiri na kung'olewa pembe.

Tembo alieuawa na majangiri kama anavyoonekana


Huyu pia ni tembo alieuwawa na majangiri

Tuungane kwa pamoja kupambana na ujangiri ili kulinda heshima ya nchi yetu.