Jumamosi, 4 Julai 2015

HIFADHI Y A RUAHA MKOANI IRINGA FAHARI YA WATANZANIA

Hifadhi ya ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilomita 128 magharibi mwa mji wa iringa hifadhi hii inaukubwa wa kilometa za mraba 1300 ukweli kuhusu hifadhi hii ya ruaha ndio hifadhi kubwa kulikozote nchini Tanzania na barani afrika iliazishwa mnamo mwaka 1964 inaukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba 20,380 Hifadhi hoi ya ruaha inabeba pia historian kubwa ya chifu mkwawa kiongozi wa wahehe alieongoza mapambano dhidi ya wajerumani katika karne ya 19.kwani katika historia hii tunaona kuwa haya maeneo ndio yalikuwa mapito yake wakati akiwa anaenda kukutana na chif mapesa wa wagogo mkoani Dodoma.hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama mbalimbali kama kudu'swala'simba"tembo'faru'twiga"nyati na wanyama wengine wengi pia mto ruaha unasamaki wengi sana NAMNA YA KUFIKA KATIKA HIFADHI HII YA RUAHA. Unaweza kutumia ndege pia kwa njia ya barabara.u