Jumanne, 18 Agosti 2015

UJANGILI WAPATA DAWA

Watu waishio kando ya maeneo ya rasilimali ya wanyama pori wamehimizwa kuwa walizi wa wanyama hao na kutoshawishiwa na majangili hao kwa mjibu wa taarifa ya matokeo ya sensa yaliyotolewa na taasisi ya wanyamapori(TAWIRI) inaonyesha tembo zaidi ya 2,000 wametoweka bila kuona ata mizoga yake ambapo ni tofauti na mwaka 2013 ambapo tembo walikuwa walikuwa zaidi ya 20,000 sensa hii imefanyika katika hifadhi ya ruangwa. Waendesha baiskeli wamesafiri kutoka dar esalam hadi arusha wakiwa na ujumbe maalum ulioandaliwa kwa dhumuni ya kupinga mauaji ya wanyama pori nakutoa ujumbe huo kwa jamii iliyokaribu na hifadhi hizo ujumbe huo umepokelewa na mwakilishi wa balozi wa nchi ya China ambapo amesema nchi yao imeweka sheria Kali ili kuzuia uuzwaji wa pembe za ndovu katika nchi hiyo.